Haya ni malengo ya kikundi chetu kama kilivo jadiliwa tarehe 28/4/2013, kama malengo ya baadae ya kukiwezesha kikundi kupata hela ya kujiendesha chenyewe, na pia mrejesho kwa jamii.
Kilimo: Kuwa na shamba kwa ajili ya uanzishaji wa kilimo na ufugaji.
Biashara: Kuanzisha mradi wa kuuza mazao ya chakula
Mrejesho: kuisaidia shule yetu pale mfuko wa kikundi utakapo kuwa unajitosheleza
No comments:
Post a Comment